Skip to product information
1 of 4

Thrive Edge Publishing

Ninaweza kuwa nini? Maelezo ya taaluma ya STUH/STEM kutoka A mpaka Z (Swahili)

Ninaweza kuwa nini? Maelezo ya taaluma ya STUH/STEM kutoka A mpaka Z (Swahili)

Regular price $13.00 USD
Regular price Sale price $13.00 USD
Sale Sold out
Shipping calculated at checkout.
Material

Ninaweza kuwa nani? Taaluma za STUH/STEM kutoka A-Z ni kitabu cha picha za kialfabeti cha kumotisha na rahisi kusoma kinachofundisha kizazi chetu kijacho kuhusu taaluma za Sayansi, Teknolojia, uhandisi na Hisabati.Kitabu hiki kinatoa vielelezo vyenye rangi vya watoto sita tofauti wanaowakilisha taaluma mbalimbali za STUH/STEM (kwa mfano, wanaanga, madaktari, wanasayansi,na wahandisi, na kadhalika), kuwasaidia watoto(miaka 5 hadi 8) kujiona katika mojawapo ya taaluma za STUH/STEM, na kuwapa motisha ya kuandaa maisha yao ya baadaye kupitia STUH/STEM!

Available in English, Spanish, French, and Swahili.

View full details